MORNING TRUMPET: Kuelekea Dar Marathon, utaratibu wa kushiriki wawekwa wazi by Azam TV   7 months ago

179 Просмотров

1 I like   1 I do not like

Zikiwa zimebaki siku chache kuadhimisha Dar Marathon, waratiibu wa matembezi hayo, Rotary Club wametoa mwongozo wa namna ya kushiriki mashindano hayo. Kwa mwaka jana pekee, zaidi ya watu 14,000 walishiriki matembezi hayo.

Comments to the video