Mkewe Rais wa Marekani amekamilisha ziara yake nchini by K24TV   9 months ago

437 Просмотров

1 I like   0 I do not like

Mkewe rais wa marekani Melania Trump amekamilisha ziara yake hapa nchini baada ya kushiriki mazungumuzo na mama wa taifa Bi Margaret Kenyatta katika ikulu ya Nairobi.

mapema leo, melania alizuru hifadhi ya  ndovu ya  david sheldrick ambako aliweza kujuzwa  jinsi serikali inapambana na ujangili huku ziara yake  barani afrika ikitarajiwa kukamilika baada ya kuzuru nchi ya Misri.

Comments to the video