Matumizi Sahihi Ya Muda - Joel Nanauka by Joel Nanauka   1 year ago

34,826 Просмотров

641 I like   32 I do not like

Moja Ya Kitu Muhimu Katika Maisha Ya Mwanadamu Ni Matumzi Ya Muda Na Tofauti Haipo Katika Muda Tulio Nao Lakni Ipo Katika Matumizi Ya Muda Wetu.Kuna Mambo Saba (7) Ya Kzingatia Ili Uweze Kua Mtumiaji Mzuri Wa Muda:-
1.Weka Akili Yako Katika Kile Uanchokifanya (Focus On Task)
2.Weka Kiwango Cha Muda Wa Kutimiza Kazi Fulani (Specific Time Limit)
3.Tumia Muda Wako Wa Ziada Vizuri (Passive Time)
4.Ziunganishe Kazi Zinazofanana (Batching).
5.Jifunze Kusema Hapana (Learn To Say No)
6 Jifunze Kuwagaiwia Watu Wengine Majukumu (Delegate Responsibilities / Outsource)
7. Panglia Kila Unachokifanya (Be Organised)
#SeeYouAtTheTop#TimizaMalengoYako#JoelNanauka

Comments to the video